.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Baada ya kufunga ndoa kwa siri bila kukaribisha vyombo vya habari na mapaparzi kwenye sherehe ya ndoa yao Ufaransa Brad Pitt na Angelina Jolie wameuza picha za harusi yao.
Majarida mawili ambayo ni People na Hello wamelipa kwa pamoja dola milioni 2 za Kimarekani.
Brad Pitt na Jolie waliwahi kuuza picha za kwanza za mtoto wao wa kike kwa jarida la people kwa dola milioni nne, mwaka 2007 waliuza picha zao za mtoto wao wa kiume, mwaka 2008 ilisemekana wamelipwa dola milioni 14 na jarida la people ili kupata picha za watoto wao mapacha ambao ni Viviennena Knox.
prd 1 prd 2 Screen-Shot-2014-09-03-at-4.35.29-AM Screen-Shot-2014-09-03-at-4.36.15-AM Screen-Shot-2014-09-03-at-4.37.10-AM

0 comments:

Post a Comment