.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |

Siku ya leo mwanamuziki nguli wa Bongo fleva , Diamond Platnumz yupo nchini Africa Kusini akishoot kipindi na Televisheni ya MTVBase ya nchini humo. Bado haikuweza kujulikana kipindi hicho kinahusu nini lakini itaelekea kitakua si tu kuhusu Diamond bali Tanzania kwa ujumla baada ya Diamond kuanza kurekodia kipindi hicho kwenye balozi za Tanzania nchini Africa kusini…
lkupitia insta ameandika 
diamondplatnumz kwakuwa siku ya leo nzima nitakuwa nazunguka na @mtvbaseafrica wakinishoot... nimeona ni bora nianzie kwenye ubalozi wetu waTanzania hapa Mjini Pretoria/ south Africa... ili walau wapate kujua machache yahusiayo naTanzania... 


0 comments:

Post a Comment