.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
BBA 
Aliyekuwa mwakilishi wa kutoka Kenya ndani ya
 jumba la Big Brother nchini Afrika Kusini,
 Sabina ametolewa katika jumba hilo.
Taarifa zilizowekwa katika ukurasa wa mtandao wa Standard
 Digital ya nchini Kenya zinasema, mwakilishi huyo ambaye

ni mtangazaji wa televisheni amekuwa kivutio 
cha watazamaji wengi wa show ya Big Brother.
Sabina ametolewa ndani ya jumba hilo pamoja na wenzake
 ambao ni Lilian aliyekuwa mwakilishi kutoka Nigeria, pamoja na Esther ambaye pia alikuw
a mwakilishi kutoka nchini Uganda.
Melvin Alusa, mwakilishi wa Kenya aliyesalia ndani ya jumba la Big Brother.
Melvin Alusa, mwakilishi pekee kutoka Kenya aliyesalia ndani ya jumba la Big Brother.

0 comments:

Post a Comment