.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjIrNVpjela0M_Bx2mOhUUhm5anobL_9t9eSH8VMioiKJJ7U0PApVePM_ah7L_EiLry5v8QBcoicPsm_mCtHZ93GKpjBKqID5W8TFnxjqRzyl3WqqhPEOtRsYyYFXxDI-TkcsOCUXpTaAuX/s1600/YP.jpg
Meneja wa kundi la Wanaume Family amethibisha kifo cha msanii YP na kueleza kuwa alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya KIFUA  kwa muda mrefu.
“Tatizo alikuwa anaumwa kifua muda tu, lakini alishaanza kunywa dozi lakini majuzi akazidiwa na tukampeleka hospitali. Jana ndo mwenyezi Mungu kampenda zaidi akamchukua. Wazazi wa marehemu wapo Keko pale, lakini wazazi wake baba na mama walifariki ila ndugu zake wapo, na kuna kibanda waliachiwa na wazazi wake, kwahiyo msiba utakuwa Keko.” Fella ameiambia Bongo5.
Kuhusu ratiba ya msiba huo, Fella amesema itafahamika leo majira ya saa saba mchana.
Mungu ailaze pema roho ya marehemu YP. Amen!

0 comments:

Post a Comment