.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |

Msanii wa kimataifa Chameleone amekanusha kumuomba Diamond Collabo baada ya mtandao wa BigEye kuripoti hivyo.

Chameleone amesema ...

1] Wenye Application ya Mziiki ndio walitaka Chameleone awe balozi wa app hio Uganda kama Diamond alivyo balozi wa app hio huku Tanzania na wafanyi wimbo pamoja kama mabalozi.

2] Mpaka sasa hawajakubaliana na App hio, hajampigia Diamond kumuomba collabo, Hajamuwhatsapp Diamond kuhusu collabo,Thats not right alisema Chameleone.
  
3] Chameleone aliendelea kusema "nimefanya muziki kwa miaka 14 sasa, mimi sio upcoming artist, Am not at a level of asking for a collaboration from any artist in that manner,

0 comments:

Post a Comment