.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Bey II
Siku ya jana Novemba 6, Beyonce alimtembelea Kelly Rowland aliyejifungua mtoto wa kiume na kuacha ujumbe wa nguvu katika ukurasa wake wa Instagram (@beyonce) kwa mtoto huyo.
“.. Hakuna hisia nzuri kama hii ya kumshika mpwa wangu mzuri. Nashukuru Mungu kwa heshima ya kuishuhudia safari ya dada yangu kuwa mama. Nimekuwa nikiota watoto wetu wanakua pamoja. Nashukuru kwa kuungana kwetu. Mtoto Ty, Nakupenda sana. Pongezi kwenu wapenzi..”-Beyonce.
Bey

0 comments:

Post a Comment