.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Kwa mujibu wa coments wa watu kwenye sociasl 
networks,Inaonekana wengi hawakupenda ushindi wa
 Wema kwenye shindano la IJUMAA SEXIEST GIRL
 Kwenye mashindano hayo alikuwa na warembo wenzake
 Jokate,Lulu,Nelly Kamwelu,Jackline Wolper 

hatimaye alifanikiwa kushinda tuzo hiyo. Wema ametumia ukurasa
 wake wa instagram kutoa yaliyo moyoni mwake na ameandika,
 “If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…
. kama hujapenda kasage chupa kunywa…. maana naona
 sasa its too much khaaaaaaaa.! Ebu mnitue mie mtoto wa watu…
 And again much love to y’all dat support me…
 nawapenda sana…. nimemaliza…. Award yangu ndo
 hiiiiiiiiooooooooo…… next year tusubiri mwingine.
 Nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda
 ni wachache wenye vijiba vyao vya roho….
 Wema atabaki kuwa Wema tu… Bhaaaaas.”

0 comments:

Post a Comment