.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
DOGO: Eti baba mtu stupid yuko je? DADDY: Hilo ni
swali zuri sana, a very good kweshen kwa kweli I
am praud of you, you see mwanangu, mtu
stupid ni yule ambaye akiulizwa just a simpo
kweshen, yaani swali dogo sana basi huanza
kulinyumbulisha na kuongeza mofimu na fonimu
katika hilo swali, kuanza kutafuta, tena infact bila
mantiki yoyote basis ya swali,na baada ya hapo
kufanya mchanganuo na hatimae kukam up na
Subscribe to:
Posts (Atom)