.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Week hii Mwanmziki mwenye asili ya senegal,Akon
alitumbuiza nchini DRC mjini Goma,lakini maeishia kushutumiwa
vikali na mashabiki kwa stayle aliyotumia ya kuimba akiwa ndani ya puto,wengi
wadai alifanya hivyo kujikingta na ebola yaani kama unyanyapaa hivi,lakini Akon mwenyewe,amejitetea kwa kusema
hakuwa na maana hiyo kwani hata miaka
ya nyuma laishaperfome kwa mtindo huo
Nchini Austaralia na Dubai
Subscribe to:
Posts (Atom)