
ya kumshirikisha Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa,
huenda Diamond akasikika tena kwenye wimbo wa Mzee
Yusuf.
Akiongea kwenye kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV,
Mzee Yusuf alisema huenda akamshirikisha Diamond
kwenye wimbo uitwao ‘Kikulacho’.
Katika hatua nyingine, Mzee Yusuf alisema nyimbo zake
zitakazokuwepo kwenye album yake ijayo zitakuwa na si
zaidi ya dakika...