.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
h
kila shabiki wa mziki Tz hususani wapenzi wa tamasha kubwa la burudani,FIESTA,atakuwa ana hamu kufaham ni msanii gani mkubwa atatua nchini kwewnye kilele cha tamasha hili,jijin Dar,Tamasha hudhaminiwa na beer ya serenget na kupitia ukurasa wao wa  FACEBOOK wameorodhesha majina ya wasanii hao na kuacha swali kwa mashabiki ni nani wanahisi watamleta....we unahisi ni nani?  
Posted by kifesi |
Msanii/mtangazaji/Mwigizaji Bow Wow amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Erica Mena.Bow wow na Eriza wameanza kuwa pamoja mwanzo wa mwaka huu baada ya Erica kufanya naye interview kwenye kipindi cha BET’s 106 & Park.

Bow-Wow-and-Erica-Mena-Engaged Screen-Shot-2014-09-21-at-1.23.09-PMErica-Mena-bet-hip-hop-awards
Posted by kifesi |
ictoria Kimani kutoka Kenya na Mr Flavour kutoka Nigeria walitumbuiza kwenye Jukwaa la Coke Studio Africa msimu wa pili unaofanyika Nairobi, Kenya na kufanya fusion ya wimbo wa Mr Flavour ‘Ada Ada’.
Coke Studio Africa inawakutanisha wasanii wa Afrika Mashariki, Magharibi na Afrika ya Kati na kuwapa nafasi ya kuimba LIVE nyimbo zao kwa kushirikiana. Kutoka Tanzania wapo wasanii kama Joh Makini, Vannessa Mdee, Shaa na Diamond wamefanya collabo na wasanii wengine wakubwa.
Posted by kifesi |
Big Brother Africa 2014: Mshiriki wa pili wa Tanzania atajwa #HotShots  Washiriki wengine waliotajwa ni Kacey Moore kutoka Ghana na JJ kutoka Zimbabwe.
M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.
Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.
Bofya HAPA kuangalia akijieleza.
Washiriki wengine waliotajwa ni Kacey Moore kutoka Ghana na JJ kutoka Zimbabwe.