.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Posted by: Millard AyoMarch 4, 2015Ent. Rapper maarufu kwenye headlines za dunia, Drake aliotewa kwenye hizi picha na Mapaparazzi huko Australia akiwa na mrembo ambae inaaminika ndio girlfriend wake mpya. Mrembo anaitwa Bernice Burgos mwenye umri wa miaka 34 ambae ana asili ya Puerto Rico na ni model/video queen aliyetokea kwenye video kadhaa kama Work Out ya J. Cole na ‘Diced Pineapples’ ya Rick Ross, Wale na Drake kwa mujibu wa Necole...
Posted by kifesi |
Karrueche Tran amethibitisha kuachana kabisa na msanii Chris Brown baada ya kugundulika kuwa Chris ni baba wa mtoto mwenye miezi tisa na mwanamitindo Nia. Karrueche ametumia Twitter jumatano ya March 4 kusema wazi kuwa amechoshwa na kila anachofanya Chris na anawatakia maisha mazuri Chris na familia yake. “Listen. One can only take so much. The best of luck to Chris and his family. No baby drama for me,”  . Inasemekana Chris Brown amezaa...