.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Kwa Raha Zangu Na Shem Langu @diamondplatnumz ---- Nyota Ndio Mpango Mzima ⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️ A video posted by Missy Temeke (@missytemeke) on Dec 12, 2014 at 8:14pm PST Dammmmmn mi billetera está completamente vacía !! A video posted by Missy Temeke (@missytemeke) on Dec 12, 2014 at 1:30am PST ...
Posted by kifesi |
...
Posted by kifesi |
  Chris Brown ametangaza rasmi kwenye show kuwa ameachana na mpenzi wake wa muda mrefu Karrueche Tran.  Kwenye show yake wakati anapiga nyimbo alipozi na katikati akasema  “I’m single too!” na kusema “F*** that b****!” Hii ndio post ya Chris Brown kuhusu issue hii, huku akimchana Karrueche kuwa amemfanyia mambo mengi ila hajarudisha fadhila na kwamba alihisi Tran alikuwa na mahusiano na Drake.Chris Brown ameifuta baada ya dakika...
Posted by kifesi |
Wasanii ambao wameingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo za 57 za Grammy za mwaka 2015 tayari wametangazwa na kitu kingine ambacho ningependa ufahamu ni juu ya list hiyo kuwa na majina ya wasanii wakubwa. Beyonce, Iggy Azalea, Ariane Grande, Pharell, Ed Sheeran, Sam Smith na Chris Brown ni kati ya wale walioingia kwenye list hiyo na kuifanya iwe na mvuto mkubwa, kwa wale wafuatiliaji najua watakumbuka kilichotokea kwenye sherehe...
Posted by kifesi |
Hili ni tamasha ambalo huusisha zaidi  walaji mbalimbali wa nyama kukutana na kufurahia nyama mbalimbali ambazo huandaliwa na mabanda mbalimbali ikiwemo Nyama ya kuku, ng’ombe na mbuzi. Dec 06 jiji la Dar es Salaam limepata nafasi nyingine ya kukutana pamoja na kula nyama za aina mbalimbali, Nyamachoma Festival Dar es Salaam imefanyika kwenye viwanja vya michezo vya Chuo Kikuu Dar. ...
Posted by kifesi |
It appears Chris Brown and Karrueche Tran have broken up again... and the singer made it clear on Friday night (Dec. 5).During Power 106's annual Cali Christmas concert in Los Angeles, the singer formally announced that he was single and ready mingle, while putting Karrueche on bla...