Director wa video ni Patrick Ellis, ujumbe wa Diamond kwenye ukurasa wake waInstagram aliandika hivi; “Hufai eti, wansema Unavuaga tu Sketi….. Na Ntaregret we Shuka Mwenzako Blangeti….!!!!!! Onset!!#NAKUPENDA @iyanya ft your Boy!”@diamondplatnumz
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
UTAJIRI - Tajiri hupendwa na wasichana na pia huwa na tamaa ya kutafuta fedha kiasi cha kukosa muda na mkewe
UMASKINI - kazi ya kutafuta lishe ni ya baba, hivyo hushughulika sana na kujikuta amekuwa baba zaidi kuliko kuwa mume
MADARAKA - madaraka ya ofisini huyaleta hadi nyumbanini chukuzo kwa mume/mke.
Maafisa hawana muda na wake zao kwa sababu ya makongamano/semina/ziara mbalimbali.- Hivyo wake zao wengi hutumia madereva kukidhi haja zao za kimwili- Mke ambaye ni ofisa humwachia house girl kazi za kupika, kufagia chumbani, kupeleka maji bafuni na hata kutandika kitanda, hivyo
kusababisha mke kupinduliwa na house girl.
MAMBO YANAYOWAKERA WAKE
1. Wababa wenye madaraka kuyapeleka madaraka nyumbani
2. Wake kuwajibika na mambo ya nyumbani kwa vile wana mishahara minono
3. Wababa kutotenga muda wa kutosha kukaa na wake zao ili kuongea yanayowahusu
4. Mume kumwachia mke kulea watoto hasa wakati wa usiku
5. Mume kutomtia moyo mke wakati wa ujauzito
6. Mume kumchanganya mama na watoto wa kike wanapokosa
7. Mume kutokuwa na maandalizi mazuri wakati wa kukutana kimwili na mkeo
8. Mume kujijari mwenyeweMume kusaidia ndugu zake bila mke wake kujua
9. Mume kubagua watoto
10. Mume kuwa na upendo na ukaribu au kucheka na binti waishio nao huku yupo mke wake
11. Mume kutomshirikisha mkewe katika huduma yake ya ili aweze kumwombeaKutoonesha shukrani wala kutokuwa na msamaha
12. Mume kutomtazama mkeo usoni mkiwa chumbani..
Posted by kifesi |
Duniani kote wataalamu wanaangalia namna ya kubuni teknolojia itakayosaidia kukabiliana na tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa, mpshi wa viwanda, magari vinatajwa kama vyanzo vya tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa.
Jaribio linafanywa sasa hivi likifanikiwa basi huenda historia ikaingia kwenye ukurasa mwingine, ndege inayotumia umeme wa nguvu ya jua imeanza safari ambapo tayari imeruka kutoka Abu Dhabi.
Ndege hiyo ina kiti kimoja ina mabawa yenye ukubwa kama wa ndege ya kawaida na uzito sawa na gari, mabawa yake yana solar panels ambazo zinasaidia kunasa nishati ya mwanga wa jua.
Ndege hiyo ina betri zinazohifadhi nguvu ya umeme wa jua kutoka kwenye jua na hivyo itaweza kusafiri hata usiku, Andre Borschberg ndio rubani anayerusha ndege hiyo katika safari ya miezi mitano kuizunguka dunia, ambapo inakadiriwa umbali atakaosafiri ni zaidi ya Kilometre 35,000.
Ndege hiyo inasafiri na ujumbe wa kuhimiza uwekezaji kwenye Teknolojia salama ambayo ni rafiki kwa mazingira na ikifanikiwa kumaliza safari yake itaingia kwenye rekodi za kuwa ndege ya kwanza inayotumia nishati ya jua kusafiri duniani.
Subscribe to:
Posts (Atom)