...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
crdt to -bellanaija.com
The 3rd edition of the Africa Magic Viewers’ Choice Awards (AMVCA) at Eko Hotel on Saturday March 7 2015 was everything an award show should be. Glamorous stars, performances and touching moments made for a memorable night.
You’ve seen our First Look at the Red Carpet & Winner List, BN Red Carpet Fab,Best Dressed List and Most Controversial Red Carpet Looks, now we are...
Posted by kifesi |
Siku za mwizi ni arobaini na ikifika arobaini za mwizi anaweza kujikuta kwenye kitanzi kwa njia ambayo hata mwenyewe haamini… Hii story inatokea Newport, South Wales, jamaa mmoja amepandishwa kizimbani kwa kosa la kuingia kwenye nyumba moja kwa lengo la kufanya uhalifu japo hakufanikiwa kukamilisha lengo lililomuingiza kwenye nyumba hiyo.
Matthew Waters alikutwa kwenye chumba cha spare akiwa amelala kwenye kitanda kilichopo kwenye...
Posted by kifesi |
Diamond alikwenda Nigeria kwa ajili ya kufanya show kwenye utoaji wa tuzo za filamu Afrika 2015 ambapo kweli aliiwakilisha Tanzania vizuri kama ambavyo wengi walishuhudia live kwenye TV.
Sio tu Diamond amekua akipost picha akiwa na mastaa hawa, hata Wanigeria hawa wamekua wakipost ambapo mmoja wao ni Iyanya aliepost picha usiku wa Jumapili akiwa na Diamond Platnumz na kuandika ‘Brother kutoka Tanzania Diamond, video ya nakupenda tunaifanya kesho’
Diamond...
Subscribe to:
Posts (Atom)