.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirUq2vCj9gixxQ9TAPNU3xwAoKmrI20QFgFi2DZFa0Vqfh2-Yt8rAPPbfAcJ4OzQtMlYttbrs25u2tL9VX1zNvSylu7lTr9e7Rs8rugrMvYeVrE5rHDAmNubkjI0oMGHtxvnG-rXfpXK4/s1600/25.jpg
Posted by kifesi |
Hii ni michoro iliyofanywa na Christian Renny mchoraji ambaye bado yupo chuo, hizi ni picha za watu maarufu aliowachora

Posted by kifesi |
Guy Scott
Guy Scott ambaye alikuwa makamu wa rais Zambia wakati wa utawala wa Michael Sata ametajwa kushika nafasi ya urais wa nchi hiyo kwa sasa mpaka pale ambapo ataapishwa mara baada ya kufanyika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.
Waziri wa ulinzi Zambia Edgar Lungu amesema maandalizi ya uchaguzi huo yataanza muda wowote ambapo katiba ya nchi hiyo inaagiza kufanyika uchaguzi wa Rais ndani ya siku 90 baada ya kufariki kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo.
Scott ameteuliwa kushika wadhifa huo ambapo hii itakuwa mara ya kwanza kwa rais mzungu kuongoza nchi ya Afrika tangu kuisha kwa kipindi cha ubaguzi wa rangi Afrika Kusini chini ya utawala wa FW de Klerk.
Posted by kifesi |
Mzee ManentoWiki moja  baada ya kutokea kwa msiba wa mmoja wa wasanii wa TMK Wanaume Family YP na saa chache baadaye ukatokea msiba mwingine wa aliyekuwa msanii wa maigizo na vichekesho Sherry Mwana, leo Oktoba 30 umetokea msiba mwingine Bongo Movie.
Taarifa za awali zimeanza kusambaa kupitia watu mbalimbali maarufu Tanzania ambao wameaanza kuonyesha masikito yao akiwemo msanii Bob Junior kuhusu kifo cha mzee Manento ambaye inadaiwa amefariki jana usiku.
CRDT:millardayo.com