
Wale mliozoe kusema " sijaona message yako au "basi itakuwa sijaisoma"
kwasababu hakukua na chochote kinachomuonyesha mtumaji umesoma basi
mmekomeshwa na "Whatsapp" safari hii.
Sasa hivi kila ujumbe utakaopokelewa na kusomwa kupitia whatsapp
utaonyesha alama ya tiki mbili za blue ikimaanisha ujumbe umefika na
umeshasomwa, ukilinganisha na zamani, ujumbe ulikuwa ukitumwa kama
haijafika unaonyesha tiki moja, ukifika unaonyesha...