Serikali ya Uganda ilipitisha sheria ya
‘Anti-ponography’ ambapo kusambaa kwa picha hizo kunamtia hatiani jamaa
huyo kwa kuvunja sheria hiyo,iwapo atakutwa na hatia adhabu yake ni
faini ya milioni 50 za Uganda sawa na dola elfu 20 ambazo ni zaidi ya
milioni 30 za Kitanzania au kifungo cha miaka 10.
Franklin anatafutwa kwa kuvujisha picha
hizo ambapo inasemekana kuvunjika kwa uhusiano wao kumepelekea jamaa
huyo kuvujisha picha hizo.
0 comments:
Post a Comment