.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Mashindano makubwa ya urembo,Miss Universe Tanzania 2014 yameanza na kama unaamini una vigezo nafasi hii ni yako
Na tatiba ya usaili ni Mwanza itakua Gold Crest tarehe 14 /09/2014 saa 4 asubuhi mpaka saa 9 alasiri, Arusha ni tarehe 12/09/2014 Mbeya na Iringa tarehe 16/09/2014 alafu Dar es salaam itakua tarehe 19/09/2014ambapo sehemu itakapofanyikia pamoja na muda utatangaziwa baadae lakini kama unahitaji maelezo zaidi piga hizi namba 0655441165/0713302075
Posted by kifesi |
Tuzo kubwa za MTVEUROPE zimewadia na Mtanzania Diamond platnumz ameteuliwa ,kuwania kipengele cha mwanmziki bora wa Afrika/,kama utakumbuka za mwanzo zilikuwa ni tuzo za Mtv kwa aAfrika pekee,
kuteuliwa huko kumekuha wakati tayri yupo nominated kwenye Tuzo zingine mbili za kimatifa,#IRAWMA za nchini MAREKANI NA CHANNEL O ZA Africa kusini akiwa nominated kwenye category 4..
MTV EUROPE anapambana na Davido,Goldfish wa afrika kusini na Toofan wa Togo
Mungu Mbaliki diamond,Bariki Bongo fleva na Tz

Davido (Nigeria)
Goldfish (South Africa)
Diamond (Tanzania)
Toofan (Togo)
Subscribe to:
Posts (Atom)