HIZI NI PICHA ZINGINE ZA HARUSI YA KIFALME YA NDUGU FRANK MTAFUNGWA,AMBAPO PAMOJA NA MABO MENGINE YA KUSISIMUWA ILIFIKA MIDA YA KUCHUKUWA PICHA ZA KUMBUKUMBU,CEO N FOUNDER WA KWETU FASHION AKIWA KWENYE PICHA ZA KUMBUKUMBU PAMOJA NA MAHARUSI |
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Kikwete Usiku wa Agosti 2
2014,alikutana na waTanzania katika hoteli ya Marriot iliyopo jijini
Washington DC Baada ya hotuba yake,Rais Kikwete aliruhusu maswali kutoka
kwa Watanzania hao.
Miongoni mwa maswali hayo ni yale yaliyotaka uthibitisho wa Rais juu ya taarifa aliyowahi kuitoa Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa kuhusu madai ya Ridhiwan Kikwete kukamatwa na madawa ya klulevya China.
Miongoni mwa maswali hayo ni yale yaliyotaka uthibitisho wa Rais juu ya taarifa aliyowahi kuitoa Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa kuhusu madai ya Ridhiwan Kikwete kukamatwa na madawa ya klulevya China.
Posted by kifesi |
Kuna mambo inachukua mda sana kuyamini unaposimliwa kama
hivi,mpaka ushuhudie kwa macho yako,hususani kwa swala kaa hii linamomhusisha
Mtanzania mwenzetu,tukio lililofanywa na ndugu Frank Mtafungwa NA mkewe
Anitha Mwemezi NI TUKIO SIYO TU limeweka historia ,bali ni tukio litakalo ishi
kwa mda mlefu sana kwenye vichwa vya waloshuhudia ,ama kusimliwa ..ni tukio la
sherehe ya harusi yao ya kipekee kabisa kuwahi kutokea…a LOYAL WEDDING
Kila kitukilikuwa tofauti,kuanzia maandalizi,mpangilio
location etc,lakini kama haitoshi mamia ya waalikwa waliokuwepo toka sehemu
mbali mbali duniani,hakuna aliyechangishwa pesa,siyo kitu kidogo siyo??lakini
kingine maharusi walibadili mavazi zaidi ya mara tatu,siyo kitu cha kawaida…maneno
hayatoshi kuelezea upekee wa ndoa hii ya kihistoria,kikukbwa tazama baadhi tu
ya matukio kupitia picha,amabapo CEO wa kwetu fahion,Missy Temeke nae
alikuwepo..all in all mwenyezi Mungu awape maisha malefu Mr Frank Mtafungwa na
mkewe,na ndoa yenye furaha na amani
Bwana harusi Frank Mtafungwa akivisha pete mkewe Anitha Mwemezi siku
ya harusi yao July 5, 2014 Houston, Texas nchini Marekani na kuhudhuriwa
na ndugu jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Dunia.
Bwana na Bi harusi wakiingia kwenye ukumbi wa sherehe yao ya harusi kwa mara ya kwanza kama mke na mume.
Bwana na Bi harusi katika Densi yao ya kwanza.
Bwana na Bibi harusi wakikata keki na baadae kulishana kwa mara ya kwanza kama mume na mke.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula (watatu
toka kushoto anayeangalia nyuma) akiwa mmoja ya wageni waalikwa kwenye
harusi ya Frank Mtafungwa na mkewe Anitha Mwemezi iliyofanyika siku ya
Jumamosi July 5, 2014 Houston, Texas nchini Marekani.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Missy
T na marafiiki zake walivyopendeza katika Royal Wedding Houston, Texas
nchini Marekani katika picha ni missy T na rafiki yake katika picha ya
pamoja na mwanamuziki wa kizazi kipya Lady Jay Dee
Subscribe to:
Posts (Atom)