
Mh.Rais Kikwete ametokea kutaja tena jina la Diamond Platnumz, akiongelea mengi waliofanya kipindi walipokutana na mkali huo wa AfroPop, Diamond Platnumz, akiwa anafunguka wakati alipokuwa anaongea na wasanii kule jijini Dodoma, jambo la kushangaza zaidi ambalo kila mtu hakuweza kuamini ni pale Mh. Rais alipokuwa anataja wasanii wakubwa mbali mbali akiwemo, Ludacris,Trey Sings, Lil Wayne, Usher Raymond na wengine wengi tena pamoja na mameneja wao.Mh.Raisi...