Today is a very special day, because it is the day when
I first saw my angel. Happy Birthday to my lovely daughter! No matter how old you are, to me you will always be my little
girl. You are the most
beautiful gift anyone has ever been gifted with. Much
love and blessings coming your way! HAPPY BIRTHDAY FATMA MATOPE.
Weka haya
maneno kwenye hiyo Picha ya mwanangu... Kwenye blog samahani kwa usumbu...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Hii
imetokea Indiana nchini Marekani ambapo Polisi waliisimamisha gari
iliyokua na Waamerika weusi ndani yake ikiendeshwa na Mwanamke aitwae
Lisa Mahone (47) akiwa na boyfriend wake Jamal Jones na watoto ambao ni
Joseph wa miaka 14 na Janiya mwenye umri wa miaka 7 wakiwa kiti cha
nyuma.
Baada ya Polisi kusimamisha gari walitaka Jamal aonyeshe kitambulisho
chake lakini hakuwa nacho kwa wakati huo ambapo baadae walimtaka ashuke
kutoka kwenye...
Posted by kifesi |
Wanaume ambao ni wafupi kwa kimo mara nyingi wanasifika kuwa waume bora kuliko wanaume warefu.
Pia inaarifiwa huwa na busara zaidi kufidia kimo chao, amekiri Adam Gopnik, mwanamme mmoja wenye umbo dogo.
Wiki kadhaa zilizopita, wana soshologia wawili kutoka Chuo Kikuu cha New
York, walichapisha waraka mrefu ulioangalizia maisha ya watu wafupi.
Utafiti wao ulizua mjadala mkali kutoka kwa kile kinachoweza kusemekana kuwa jamii ya wanaume...
Subscribe to:
Posts (Atom)