.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
MUME wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) anayekabiliwa na kesi ya ubakaji amepewa dhamana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar baada ya kutimiza masharti.
Mbasha amefikishwa mahakamani hapo akitokea Gereza la Keko alikopelekwa Juni 17 mwaka huu akikabiliwa na kesi ya kumbaka shemeji yake.
Mbasha baada ya kutolewa kwenye mahabusu ndogo ya mahakamani hapo alionekana mnyonge na aliyechoka hali iliyosababisha simanzi kwa ndugu na jamaa zake waliokusanyika mahakamani hapo.
Baada ya kesi hiyo kutajwa, rafiki wa Mbasha aliyejitambulisha kwa jina la George Mushi na baba wa mtuhumiwa huyo, Mwahimu Juma walifanikiwa kutimiza masharti ya dhamana.
(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)
Posted by kifesi |
Akiwa na siku chache tu za ndoa kati yake na Kanye west.Star wa Keeping up with Kardashian,Kim ameingia kwenye headline nyingine baada ya picha zake akiwa nusu utupu kusambaa mtandaoni,Picha zinaonesha yupo kwenye pool la kuogelea,moja ikionyesha ziwa lake,na nyingine ikionyesha sehem zake za nyuma,(makalio)haijafahamika zimepigwa kibahati mbaya akiwa vacation ama ni photoshoot.
Subscribe to:
Posts (Atom)