
Zinaitwa
African Muzik Magazine Awards ambapo za mwaka huu 2014 zimetolewa huko
Eisemann center Texas Marekani na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali
akiwemo Diamond wa Tanzania ambae pia alikua mmoja wa wanaowania tuzo.
Good news za ushindi wote huu ni kwa mujibu wa meneja Babu Tale ambae
nae kahudhuria tuzo hizi Marekani alienitumia msg kwa kusema
wametangaza ukumbini kwamba Diamond ameshinda tuzo mbili moja ya Msanii
bora wa Afrika Mashariki...