Tazama hapaAlikiba ni baba anayejivunia wa watoto watatu. Muimbaji huyo wa ‘Mwana’ ameamua kuitambulisha familia yake hiyo kwa mashabiki wake katika kuukaribisha mwaka mpya 2015.
“Nawapenda sana watoto wangu,” ameandika Kiba kwenye picha aliyoweka kwenye
Facebook
“Kingine ambacho kinabeba na kitaendelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote.