Tunaishi
katika ulimwengu ambao Mwanamke akielezea Makosa anayotendewa na mpenzi
wake anaonekana Kaonewa na anadai Haki yake.... Lakini Mwanaume
akielezea Makosa anayotendewa na Mpenzi wake anaonekana Mshenzi
anamdhalilisha Mwenzie.... je unafkiri ni kwanini? na je unahisi hiyo
ndio sababu inayowapelekea wadada wengi kufanya vitu vya ajabu Wakiamini
wanakimbilio...
Chameleone amesema ...
1] Wenye Application ya Mziiki ndio walitaka Chameleone awe balozi wa app hio Uganda kama Diamond alivyo balozi wa app hio huku Tanzania na wafanyi wimbo pamoja kama mabalozi.
2] Mpaka sasa hawajakubaliana na App hio, hajampigia Diamond kumuomba collabo, Hajamuwhatsapp Diamond kuhusu collabo,Thats not right alisema Chameleone.
3] Chameleone aliendelea kusema "nimefanya muziki kwa miaka 14 sasa, mimi sio upcoming artist, Am not at a level of asking for a collaboration from any artist in that manner,