
Mwimbaji Justin Bieber amejitoa ufahamu wakati akiwa katika show ya
mitindo iliyokuwa ikirushwa Live kwenye TV, Jumanne, September 9 na
kuchojoa nguo mbele ya kadamnasi.
Bieber alifika jukwaani ambapo watu wengi walihudhuria, na alipofika
alimwambia Lara Stone kuwa hajisikii huru hadi avue nguo zote.
Sekunde chache baadae alianza kuvua nguo moja moja hadi alipobaki na nguo ya ndani pekee aka boxer.
Show iliendelea na Bieber alionesha...