.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Kwa miaka mingi, Kwetu fashion imekuwa ikidesign aina tofauti ya mavazi   yenye kukuza/kutukuza na kujivunia asili yetu na uafrica wetu,ubunifu huu ukifanywa na mwanamama mpiganaji aliyezaliwa na fashion moyoni,Miss Temeke.Na kwa miaka yote mavazi ya kwetu fashion,yamekuwa yakivutia watu mbali na kushiriki katika maonyesho mengi  lakini pia kwetu fashion ,imeweza kuvalisha watu mbali mbali na hata viongozi wa serikali na kitaifa akiwemo...