.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Kwa miaka mingi, Kwetu fashion imekuwa ikidesign aina tofauti ya mavazi   yenye kukuza/kutukuza na kujivunia asili yetu na uafrica wetu,ubunifu huu ukifanywa na mwanamama mpiganaji aliyezaliwa na fashion moyoni,Miss Temeke.Na kwa miaka yote mavazi ya kwetu fashion,yamekuwa yakivutia watu mbali na kushiriki katika maonyesho mengi  lakini pia kwetu fashion ,imeweza kuvalisha watu mbali mbali na hata viongozi wa serikali na kitaifa akiwemo balozi mstaafu.Be Mwanaidi Maajar,wakiwemo mabalozi wa  Botswana and Zimbabwe  to U.S.A  ,
na hivi karibuni Wazili wa Maliasili na utalii.Mh Lazaro Nyarandu na balozi  Libereta Mulamula walivutiwa na kununua bidhaa za kwetu fashion siku ya ,4TH VIJIMAMBO ANNIVESARY..kwa moyo wa dhati uongozi wa kwetu fashion,na kwetu fashion kwa ujumla inapenda kutoa shukrani za dhati ,Kwa viongozi wetu hawa kwa sapoti na ushirikiano wao kwetu na tutakuwa wachoyo waShukrani,tusipo washukuru wale wote wanaotusapoti kwa namna moja ama nyingine.Mamodel wetu,wateja wetu,blogs mbali mbali zikiwemo www.jestina-george.com
http://lukemusicfactory.blogspot.com/
www.teamtz.com
http://www.williammalecela.com/
na wote ambayo tutakuwa ,tumesahau kuwataja.
ENDELEA KUWASILIANA NA KWETU FASHION KUPITIA (301)910-4634
PIA FUATILIA KAZI ZETU KUPITIA.
http://instagram.com/KWETU_FASHION
http://instagram.com/missytemeke
http://facebook.com/KwetuFashion
http://kwetufashiontz.blogspot.com/
www.kwetufashion.com
Ahsanteni




 MISS TEMEKE AKIMPATIA
 MHESHIMIWA WAZIRI NYARANDU 
MAVAZI YA KWETU FASHION 


 MISSY TEMEKE NA MAMODELS








 MISS TEMEKE AKIMSAIDIA KUMVISHA
 PETE BALOZI MULA MULA ,ALOINUNUA KWETU FASHION
 MISS TEMEKE NA MHESHIMIWA
 NYARANDU WAKITETA JAMBO



 MODELS WAKINADI MAVAZI YA KWETU


 WAZILI NYRANDU NA BALOZI MULA
 MULA WAKIELEWESHWA JAMBO NA
 MISS TEMEKE  KUHUSU KWETU FASHION 










0 comments:

Post a Comment