.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Daktari mmoja bingwa wa saikolojia, Erick Mutchumbh, amesema tabia zinazofanywa na nyota wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ zinaashiria kuwa ni mgonjwa aliyeathirika kisaikolojia na matatizo ya unyanyaswaji wakati wa utoto wake.Mutchumbh alitoa maelezo hayo baada ya kuombwa kuzungumzia tabia za Shilole za kugombana mara kwa mara na mpenzi wake, Nuh Mziwanda, kama zinaweza kuwa ni tatizo la kisaikolojia linalomsumbua mmoja wao au ni ugomvi wa kawaida...
Posted by kifesi |
Kwenye intervew aliyofanyiwa hivi karibuni msanii wa rnb Rihanna anasema alishtuka kusikia Chris Brown anamtoto mwenye miezi nane.  Hollywood  Life imeripoti kuwa Rihanna amemtakia mema Chris kwenye maisha ya kuwa baba na anauhakika Chris atakuwa baba mzuri kwa mtoto wake wa kike...