.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Reality show ya Big brother Africa imezinduliwa  jana ,Diamond kutoka Tanzania alikuwa  ni mmoja ya wanamziki wa Africa walioperfome. .wanamziki wengine walioperFome ni Davido wa Nigeria na Shebeleza wa South Africa.Angalia picha za Diamond akiperfome ,awamu hii akiwa na baadhi ya dancer wake...