Reality show ya Big brother Africa imezinduliwa
jana ,Diamond kutoka Tanzania alikuwa
ni mmoja ya wanamziki wa Africa walioperfome.
.wanamziki wengine walioperFome ni Davido wa Nigeria na Shebeleza wa South Africa.Angalia picha za Diamond akiperfome
,awamu hii akiwa na baadhi ya dancer wake.
0 comments:
Post a Comment