Ni picha aliyoshare mpiga picha wa studio za iviewstudios ,@raqey_allaraqya akimuwish siku njema ya kuzaliwa,inamwonesha akiwa kaziba sehemu zake mhimu na kipande tu cha taulo,bila shaka ilikua ni photoshoot ya kikazi,na bila shaka itakua ni moja ya picha itakayoleta gumzo ...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
PSquare's Peter Okoye Fell Off Stage In
Victoria Island Lagos During ConcertHere is NaijaGists.com exclusive video of Peter Okoye's freaky stage fall accident last night at Victoria Island in Lagos.This happened during Beat 99.9FM Triple 9 concert at the
Landmark Event Center. He sustained Leg Injury...
Posted by kifesi |
Wakati dunia ukiuchukua mtandao wa Facebook kama mtandao wa kijamii
wenye watu wengi na uliosambaa zaidi duniani, mtandao huo umepata
mpinzani mkubwa ambaye anachukuliwa na wengi kama mbadala wake, ‘Ello’.
Mtandao wa Ello uliotengenezwa na Paul Budnitz umetimiza wiki nane tu
tangu uanze kutumika na maelfu ya watu wameendelea kujiunga ndani ya
muda mfupi.
Baadhi ya watumiaji wa mtandao huo wameukosoa mtandao wa Facebook
kuwa sio...
Subscribe to:
Posts (Atom)