.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Vanessa Mdee, Diamond Platinumz na Peter Msechu wametajwa kuwania tuzo za AFRIMA za nchini Nigeria.
Come Over imemuwezesha Vanessa kutajwa kuwania tuzo katika vipengele viwili vya Best African RnB Soul na Best Female Artist in Eastern Africa.
Peter Msechu kupitia wimbo wake Nyota na Diamond kupitia Number One wametajwa kuwania tuzo ya Best Male Artiste In Eastern Africa.
Diamond naye amepata  nafasi mbili katika kinyang’anyiro kupitia wimbo wake wa Number One unawania pia tuzo ya Best African Collaboration.
Posted by kifesi |
 Usiku wa tarehe 19th september 2014 ndani ya JW MARRIOT,WASHINGTON DC,itabaki kuwa moja ya usiku wa kipekee na wa kukumbukwa kwa watanzania waishio Marekani,ilikuwa nisiku mhimu ya kumuaga baba yetu,na rais wetu mpendwa Mheshimiwa,Jakaya MlishO Kikwete,usiku huo uliopewa jina la,USIKU WA JAKAYA,Usiku wa kumuaga na kushukuru Kwa mema yake na uongozi mzuri wa  nchi yetu PENDWA Tanzania, kabla hajamaliza mda wake hapo mwakani..Kwetu fashion tunamwombea maisha mema na afya njema yeye na familia yake,aoate kumaliza kipindi chache salama .
Hizi ni official picha za tukio lilivyokuwa