Rapper mkongwe Joseph Haule aka Professor Jay usiku wa Jumamosi (13
Sept) alizindua video mbili ‘Kipi Sijasikia & ‘3 Chafu’,uzinduzi
huo ulifanyika ndani ya ukumbi wa Ten Lounge uliopo maeneo ya Victoria
jijini Dar es Salaam
Mbali na uzinduzi huo Professor alipata support kutoka kwa wasanii
mbalimbali akiwemo,Linex,Chid Benz,Lady Jay Dee,Soggy Doggy,TID,Slim,D
Knob,Country Boy na wengineo
Hizi ni picha za Uzinduzi...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |

MOja ya sifa njema kuhusu Miss Temeke ni vipaji vingi alivyojaliwa na Mungu kuhusu urembo na mambo yote kuhusu fashion,vipaji ambavyo alivipiga msasa kwa kuviendea shule,miss Temeke ambae ni mama wa watoto wawili wenye afya na furaha; ni vigumu kumtabilia umri wake kutokana na anavyojitunza ..na mbali na kufanya fashion na kuvalisha watu wengi mashuhuri pia ni makeups artist mzuri kabisa akiwa amefanya kwenye sherehe mbalimblai na kwa...
Posted by kifesi |
Nicki Minaj amekutana na kikwazo kikubwa katika mpango wake wa kuzungumza na wanafunzi wa shule aliyosoma.
Mwimbaji huyo ameeleza jinsi alivyoumia baada ya mkuu wa shule hiyo
kulikataa ombi lake la kuongea na wanafunzi hao kwa nia ya kuwa-inspire
wafanikiwe kama yeye.
Huenda mkuu huyo wa chuo ameona Nicki Minaj sio mtu sahihi wa
kuwa-inspire wanafunzi wake kwa kuzingatia video tata ya ‘Anaconda’
aliyoitoa hivi karibuni.
Hizi...
Posted by kifesi |
Kanye West alikuwa kwenye tamasha lake nchini Australia wakati huu na
aliamua kuweka msimamo kwa maneno aliyoyasema kuwataka mashabiki wote
kusimama na kucheza wakati anaimba la sivyo asingeendelea na show.
“'I can't do this song, I can't do this show until everybody stand
up. Unless you got a handicap pass and you get special parking and
s**t.'Imma see you if you ain't standing up, believe me, I'm very good
at that.”. Alisema.
Kwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)