Rapper mkongwe Joseph Haule aka Professor Jay usiku wa Jumamosi (13 Sept) alizindua video mbili ‘Kipi Sijasikia & ‘3 Chafu’,uzinduzi huo ulifanyika ndani ya ukumbi wa Ten Lounge uliopo maeneo ya Victoria jijini Dar es Salaam
Mbali na uzinduzi huo Professor alipata support kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo,Linex,Chid Benz,Lady Jay Dee,Soggy Doggy,TID,Slim,D Knob,Country Boy na wengineo
Hizi ni picha za Uzinduzi huo
CRDT-MILLAD AYO |
0 comments:
Post a Comment