.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
MOja ya sifa njema kuhusu Miss Temeke ni vipaji vingi alivyojaliwa na Mungu kuhusu urembo na mambo yote kuhusu fashion,vipaji ambavyo alivipiga msasa kwa kuviendea shule,miss Temeke ambae ni mama wa watoto wawili wenye afya na furaha; ni vigumu kumtabilia umri wake kutokana na anavyojitunza ..na mbali na kufanya fashion na kuvalisha watu wengi mashuhuri pia ni makeups artist mzuri kabisa akiwa amefanya kwenye sherehe mbalimblai na kwa watu tofauti tofauti....haya ni machache kuhusu uwezo wa Mis T...KUFAHAM KAZ ZAKE ZAIDI ENDELEA KUTEMBELEA KWETU FASHION BLOG PIA ,FACEBOOK PAGE YAKE(missy temeke) instagram(missytemeke) pia insta page ya kwetu fashion(kwetu_fashion)

0 comments:

Post a Comment