Mwanamitindo wa kimataifa toka Tanzania,Miriam Odemba amecover kwenye jarid la NEW AFRIKAN WOMEN toleo la 26.
Lifahamu zaidi jarida hilo
NEW AFRICAN WOMAN is a colourful lifestyle magazine dedicated to providing in-depth coverage of fashion and beauty, health and wellbeing, parenting and family, and much, much more. The magazine is a celebration of black beauty and culture and with a unique indigenous twist, we offer an insight into the...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Msanii
wa maigizo Elizabeth Michael maarufu kama "Lulu" jana jioni
aliwakumbuka watoto yatima wa kituo cha ''Chakuwama'' kilichopo Sinza
Meeda na kujumuika nao kwenye Futari iliyo andaliwa na msanii huyo...
Lulu aliambatana na Mama yake mzazi, Mama Kanumba,
Dk. Cheni na watu mbali mbali.
...
Posted by kifesi |
Heka heka ya leo imetokea marangu mtoni. Jamaa mmoja houseboy kamchinja mtoto wa bosi wake na kula ubongo wa mtoto huyo na baada ya hapo akajikata uume wake na akaula.
Chanzo chetu cha habari hii kilichopo huko Marangu Moshi kilihabarisha
kuwa mtu huyo yupo katika hali mbaya sana na yuko chini ya ulinzi wa
Polisi. Innah lillah waiyna lillah rajiuun....
Subscribe to:
Posts (Atom)