Heka heka ya leo imetokea marangu mtoni.
Jamaa mmoja houseboy kamchinja mtoto wa bosi wake na kula ubongo wa mtoto huyo na baada ya hapo akajikata uume wake na akaula.
Chanzo chetu cha habari hii kilichopo huko Marangu Moshi kilihabarisha kuwa mtu huyo yupo katika hali mbaya sana na yuko chini ya ulinzi wa Polisi.
Innah lillah waiyna lillah rajiuun.
0 comments:
Post a Comment