.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |

BustaRhymes-Cut
Rapper Busta Rhymes ameanguka akiwa jukwani kwenye show ya muziki mjini New York. Busta alikuwa msanii aliyealikwa kwenye show hio iliyofanyika Webster Hall alikuwa ameinama kusalimia mashabiki na ghafla akapoteza balansi na kuangukia watu, alivyoinuka alikuwa na damu kichwani na usoni huku jeraha likionekana kuhitaji kushonwa.
Baada ya dakika checha alirudi jukwanii na kuendelea na show.
 1128-busta-rymes-falls-off-stage-wm-3
Posted by kifesi |

diamond  2Jumamosi Ya Nov  29 2014 Watanzania na wapenzi wa muziki wa bongo fleva walifuatilia kwa karibu sana tuzo za Video za Channel O zilizofanyika Johannesburg South Africa. Mtanzania mwenzetu Diamond Platnumz alikuwa akiwania tuzo nne kwenye vipengele tofauti.
Diamond Platnumz amefanikiwa kushinda tuzo tatu kati ya 4alizokuwa anawania. Tuzo alizoshinda ni Most Gifted EastAfrica, Most Gifted Afro Pop na Most Gifted Newcomer.
Hizi ni picha za Diamond akiwa na mama yake mzazi, manager wake Bab Tale na Said Fela na Zari kutoka Uganda.
       diamond   4 diamond   6 diamond   8 diamond   9 diamond   10 diamond   11 diamond   13 diamond  1 diamond  3diamond   19           diamond   20
Kiukweli, haikuwa rahisi kabisa.. lakini kwa uwezo wa Mwenyez Mungu na support kubwa mliyonipa iliwezesha Bongo Flavour yetu kuandika Historia mpya kwenye Ramani ya mziki wa Africa…Hii inaonyesha ni jinsi gani Umoja ni nguvu na pia jins gani mziki wetu ukisupportiwa na kupewa kipaumbele unaweza kufika mbali zaidi… Shukran sana kwa @channeloafrica @channelotv kwa kuniona na kuthamini kipaji changu, My Family, Management, Media zote zilizokuwa zikinisupport, Watangazaji, Wasanii, Wadau na bila kuwasahau wapendwa wangu #TeamWasafi #TeamChibu #TeamPlatnumz #TeaMMondi toka instagram, Facebook, Whatsapp, Twitter na kadharika, wakiongozwa na kamanda langu @kifesi … Nawashkuruni sana sana
Posted by kifesi |

10809963_894344663923723_1959455769_nHabari ya Tanzania kwa sasa ni ushindi wa Diamond kwenye tuzo kubwa za channel0,ambapo ameshinda tuzo 3,mmoja ya waliompongeza ni ex wake,Wema sepetu  kupitia instagram alimpongeza na kumalizia  kwa kumuita kaka badala ya baby kama tulivyozoea,kwa sasa nafasi yake imechukuliwa na mwanandada ZARI Bossy lady wa Uganda ambae waliongozana wote kwenye tuzo
10838463_1142017895858733_1196352614_n10808758_307507596106505_1605978790_n
Posted by kifesi |
.
.
Diamond Platnumz ndio alikua msanii pekee wa Tanzania aliekua akiwania tuzo za Channel 0 2014 zilizotolewa November 29 usiku hapa Johannesburg South Africa ambako alishinda tuzo tatu kati ya nne alizokua anawania.
Unataka kuona jinsi ilivyokua kwenye red carpet kabla ya tuzo kutolewa? Diamond alivyopita na Watanzania wengine? endelea kutazama hizi picha hapa chini.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Fally Ipupa
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_1177
.
.
.
.
.
.
.
.
mwimbaji Donald wa South Africa kwenye interview na mtu wako wa nguvu Millard Ayo
.
.
.
Dream team, wakali wa muziki kutokea Durban Afrika Kusini kwenye interview na AyoTVna millardayo.com
.
.
.
.
.
Sauti Sol kwenye interview na millardayo.com na AyoTV
.
.
.
.
.
Mwimbaji/Mtangazaji Vanessa Mdee kutoka Tanzania akiwa na Victoria Kimani na Yvonne kutoka Kenya.
DSC_1249
Victoria Kimani on AyoTV
.
Diamond Platnumz kwenye interview na millardayo.com na AyoTV
.
.
.
Ujazo wa jina la Diamond umeongezeka sana, kwenye red carpet alifanya interview na vyombo vingi vya habari kutoka kona mbalimbali za Afrika
.
Mama Diamond, Diamond mwenyewe pamoja na Zari.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Diamond akiwa na mameneja wake Bab Tale na Said Fella
.
.
.
.
.
Bab Tale, Diamond na Said Fela wakiwa kwenye picha ya pamoja na staa wa muziki kutoka Nigeria Kcee.
.
.
DSC_1348
Zari, meneja Salam, Diamond na mama Diamond wakiwa wanaingia kwenye tuzo za Channel O
.
.
.
.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia