Rapper Busta Rhymes ameanguka akiwa jukwani kwenye show ya muziki mjini New York. Busta alikuwa msanii aliyealikwa kwenye show hio iliyofanyika Webster Hall alikuwa ameinama kusalimia mashabiki na ghafla akapoteza balansi na kuangukia watu, alivyoinuka alikuwa na damu kichwani na usoni huku jeraha likionekana kuhitaji kushonwa.
Baada ya dakika checha alirudi jukwanii na kuendelea na show.
0 comments:
Post a Comment