Diamond Platnumz ndio alikua msanii pekee wa Tanzania aliekua
akiwania tuzo za Channel 0 2014 zilizotolewa November 29 usiku hapa
Johannesburg South Africa ambako alishinda tuzo tatu kati ya nne
alizokua anawania.
Unataka kuona jinsi ilivyokua kwenye red carpet kabla ya tuzo kutolewa? Diamond alivyopita na Watanzania wengine? endelea kutazama hizi picha hapa chini.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia
Unataka kuona jinsi ilivyokua kwenye red carpet kabla ya tuzo kutolewa? Diamond alivyopita na Watanzania wengine? endelea kutazama hizi picha hapa chini.
Dream team, wakali wa muziki kutokea Durban Afrika Kusini kwenye interview na AyoTVna millardayo.com
Dai anaumia sana kwa kuachana na Wema,kila dakika anajionyesha na Zaitun. ni ujinga ulopitiliza...
ReplyDeleteHAWANA MUDA MREFU WATAACHANA, MTOTO WA TANDALE ANAJULIKANA...CHOVYA CHOVYA
ReplyDeleteKweli shule muhimu, Almasi limbukeni sana, kazoa mpaka gubegube liloshindikana???
ReplyDelete