this communique is meant to alert
u to save the date Friday, Sept. 19th, 2014..All details coming out
soon so please be patient..We wanted to alert everyone about this High
Level Unprecedented Event..Consider u have been officially put on
notice! #usikuwajakaya
Chris Brown anakaribia kutoa album yake mpya ambayo imechelewa kutoka
kwasababu ya kesi zake mahakamani. Lakini hivi karibuni ilisemekana
kwamba ameachana na girlfriend wake Karrueche, lakini hivi sasa story
mpya ni kwamba Chris Brown amepost picha akiwa na Karrueche kwenye
ukurasa wake wa instagram.
Cha kujiuliza ni je hawa wawili wamerudiana au ni drama za
promotion ya album ya Chris Brown.
Tangu wiki iliyopita ianze Kupitia akaunti za watu mbalimbali walikua
wakimtakia kila la kheri katika siku yake hiyo ya kuzaliwa ambapo Aug
17 akaamua kufanya party fupi ya kuwaalika baadhi ya watu wa karibu na
kusherehekea pamoja kwenye club iitwayo 327.
Miongoni mwa watu waliohudhuria party hii ni pamoja na Diamond
Platnumz ambaye kidogo aliperfoam kwa ajili ya watu waliofika kwenye
birthday ya ndugu yake Romy Jones.
Hizi ni baadhi ya picha hizo.
MISSY TEMEKE Missy Temeke is one of the Prominent African fashion designers, recognized for her artistic and technical skills and for creating simple, comfortable women’s wear. Born and raised in the Dar-es-salaam, Tanzania, Missy Temeke'spassion for fashion began in her teens when she worked as a Model, beauty pageant and beautician for the clouds company while attending school. Missy Temeke began her......CLICK THE PICTURE TO CONTINUE READING