Kama hukuwa unafaham,mwanamziki Mkongwe kwenye Bongo fleva,dully sykess ni baba wa watoto watatu
Turiano,Misky, na Moureen...Ambao ni hao kwenye pic...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Taarifa
ambazo zimetoka muda mfupi uliopita zinasema kuwa msanii wa muziki wa
kizazi kipya Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ asubuhi ya leo October 29
amepata dhamana baada ya kutimiza masharti yaliyotolewa.
Chid Benz alipandishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana
October 28 na kusomewa mashtaka matatu yaliyokuwa yakimkabili ambapo
alishindwa kutimiza masharti ya dhamana.
Leo asubuhi amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya...
Subscribe to:
Posts (Atom)