
Siku za sikukuu za Christmas na Mwaka mpya ni siku ambazo
watu mbalimbali ulimwenguni kote hujumuika kwa pamoja kwa ajili ya
kusherekea kuzaliwa kwa Yesu kristo na mwaka mpya kwa ajili ya
kumaliza mwaka na kuukaribisha mwaka mpya.
Viongozi wa dini husisitiza wakristo wote duniani kuungana kwa
pamoja kumwabudu mwenyezi Mungu kwa kutenda matendo yanayo mpendeza...