.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Fathers are the best role model of their children. Even a thousand advice and suggestions are not equal to imitating the father. Hence it is crucial that fathers behave in the best way possible to raise good children. It is not the biological aspect or the blood and flesh that make the father; it is the heart that makes the father. They have to give their unparallel and abundant love to their children which are their primary duty.
 As with mother, fathers are gifts offered by god to children, children tend to learn more from their father than from their school,one father is more than a hundred school masters”. The guidance of fathers is essential for the child during childhood, adolescence and even after they have grown into an adult.
Posted by kifesi |
sitti_mtemvu_miss_tanzania_crown_taji
WAKATI serikali kupita Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), ikisema itakifuta cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu,  taarifa zinasema kwamba hawezi tena kuendelea na taji hilo. uamuzi umekwisha kufanyika wa kumvua Sitti taji hilo alilovikwa katika mazingira tata, uamuzi unaotarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa.

Hata hivyo, haijafahamika kama hatua hiyo itachukuliwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) ama Sitti mwenyewe baada ya kubainika kwamba taji hilo linazidi kuiweka pabaya familia ya Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, ambaye ni baba yake.
Uchunguzi wa FikraPevu umebaini kwamba hata hatua ya awali ya kuwania taji hilo ilichukuliwa na Sitti na baadhi ya wanafamilia bila kushirikishwa kwa Mbunge Mtemvu, jambo ambalo lilimsononesha awali katika ushiriki wa Miss Temeke.
FikraPevu imefahamishwa kwamba Mbunge Mtemvu amekerwa na hali inayoendelea ikiwa ni pamoja na kuwapo utata wa cheti cha kuzaliwa cha mwanae Sitti, pamoja na kuwa anawajibika kisheria kwa anayoyafanya kutokana na kufikia umri wa zaidi ya miaka 18.

Kwa upande wake, RITA imesema inaweza kukifuta cheti kilichotolewa Temeke na kuchukua hatua stahiki ikibainika kwamba alitoa taarifa za uongo wakati wa kuwasilisha maombi ya kukupata cheti hicho.
CRDT:williammalecelaBLOG
Posted by kifesi |

  http://3.bp.blogspot.com/-ERvqagFHoyg/UpNAVSBSJdI/AAAAAAAAq6M/IBd-ZQ-lLYk/s1600/5750baa6528d11e383980ecd5d253875_8.jpg
Kipindi cha maisha na hustle za Wema Sepetu 'In My Shoes' msimu wa pili kinaanza tena wiki ijayo na kwenye interview aliyofanyana na FNL (EATV)Wema alisema

1] Maboresho mengi zaidi, mwanzo ulikuwa mgumu sana, sasa nitaonyesha kila kitu kwa upana zaidi.
2] Safari zake za njee zitaonekana.

3] Anavyotengeneza pesa na dili anazofanya vitaonekana

4] Mpenzi wake Diamond ataonekana kwenye show "Episode ya kwanza atakuwepo na zinazokuja".
Posted by kifesi |
Mwenyekiti mtendaji wa kampuni kubwa duniani ya Apple Tim Cook, ametangaza rasmi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Mkuu wa kampuni ya Apple Tim Cook ametangaza jinsia yake akisema kuwa ''anajivunia kuwa shoga''.
Cook alitoa tamko hilo ili kujaribu kuwasaidia watu wanaong'ang'ana kutangaza jinsia zao katika ripoti iliochapishwa katika gazeti la biashara la kila wiki la Bloomberg.
Amekuwa wazi kuhusu jinsia yake,lakini
pia
amejaribu kuweka maisha yake katika faragha hadi sasa alisema.
 
Tim Cook alitoa changamoto kwa jimbo lake la Alabama kuhakikisha kuwa haki za mashoga na wale wanaobadili jinsia zinaheshimiwa.
''Mimi sijitambui kama mwanaharakati,lakini nimegundua nilivyofaidika na mikakati iliowekwa na wengine'',alisema bwana Cook.
''Kwa hivyo iwapo watu wakisikia kwamba mimi ni shoga kutawasaidia baadhi yao ,ama kumpa faraja yule anayejisikia mpweke ama kuwashinikiza wengine kupigania haki zao,basi afadhali kutangaza maisha yangu ya faragha''aliongezea.
Bwana Cook amesema amekuwa wazi kuhusu jinsia yake na watu wengi wakiwemo wafanyikazi wenzake katika kampuni ya Apple,lakini hilo halikuwa chaguo rahisi kutangaza hadharani kuhusu jinsia yake.
Posted by kifesi |

Home » Ent. » Staa mtoto Blue Ivy Carter kwenye headlines tena, safari hii katinga kivazi kama Michael Jackson

Staa mtoto Blue Ivy Carter kwenye headlines tena, safari hii katinga kivazi kama Michael Jackson

Blue Ivy Carter, mtoto wa wakali wawili kutoka Marekani, Jay Z na Beyonce ameendelea kuchukua headlines kwenye mitandao kila kunapokucha.
Safari hii amevalishwa ‘Halloween’, na kali zaidi ni kuwa kavalishwa nguo ambazo zimefanana na alizokuwa anapendelea kuvaa staa mwingine Michael Jackson.
Hii ni picha iliyozagaa mitandaoni inayomuonyesha Ivy ndani ya kivazi hicho akiwa na babaake.
Blue Invy
Posted by kifesi |