.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Tuzo kubwa za music duaniani BET zimefanyika jana ,na mwakilishi pekee wa Tanzania na Afrika mashariki,Diamond platnumz kwa bahati mbaya hakuweza kushinda,japo ni hatua kubwa sana amepiga kwa music wake na Tanzania kwa ujumla,kajitangaza kimataifa,katengeneza connections ,kakutana na wasanii wakubwa dunaiani akiwemo Nelly ni faida si kwake tu,bali ni kwa mziki wa Tanzania kwani sasa ameitambulisha Tanzania kimataifa
Diamond akiwa na Nelly
pamoja na hayo cha kushangaza kidogo ni ishu ya asilimiankubwa ya wanamziki kutoonesha sapoti japo kumtia moyo kabala ya tuzo ama hata kumpongeza kwa hatua aliyopiga,pengine si lazima kufanya hivyo lakini swala la kuzingatia ni faida aliyoizalisha




Posted by kifesi |








Posted by kifesi |
Lupita Nyong'o
Mshindi wa tuzo ya Grammy, Pharrell Williams aliendeleza ushindi wake kwa mwaka huu baada ya kuibuka mshindi wa tuzo ya Video of the Year na Best Male R&B/Pop artist. Na August Alsina alishinda tuzo ya Best New Artist na Viewers’ Choice Award.
Muigizaji kutoka Kenya Lupia Nyong’o alikuwa moja kati ya washindi wa awali na alitangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Muigizaji bora wa kike (Best Actress)
Best Female R&B/Pop Artist
Beyoncé
Best Male R&B/Pop Artist
Pharrell Williams
Best Group
Young Money
Best Collaboration
Beyoncé f/ JAY Z – “Drunk In Love”
Best Male Hip-Hop Artist
Drake
Best Female Hip-Hop Artist
Nicki Minaj
Video of the Year
Pharrell Williams – “Happy”
Video Director of the Year
Hype Williams
Best New Artist
August Alsina
Best Gospel Artist
Tamela Mann
Best Actress
Lupita Nyong’o
Best Actor
Chiwetel Ejiofor
YoungStars Award
KeKe Palmer
Best Movie
12 Years a Slave
Subway Sportswoman of the Year
Serena Williams
Subway Sportsman of the Year
Kevin Durant
Centric Award
Jhené Aiko – “The Worst”
Best International Act: Africa
Davido (Nigeria)
Best International Act: UK
Krept & Konan
Coca-Cola Viewers’ Choice Award
August Alsina f/ Trinidad Jame$ – “I Luv This Sh*t”
Fandemonium
Beyoncé
Posted by kifesi |
Karrueche Tran ambae ni mpenzi wa mtu wa Chriss brown alikua ndie host kwenye red carpet ya BET akihoji wasanii mbali mbali akiwemo ,Diamond platnumz ambae tuzo ya category aliyokuwa akishindania,imeenda kwa Davido