...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |

KURIDHIKAna KUSHUKURU! Na hakuna kitu chema nachenye kuleta faida kama KUWASAMEHEwote wenye kukukosea na wenyekukuchukia! Lakini kuna jambo jingine zurimpaka Bwana MTUME (S.W.A)aliwahikumuusia swahaba mmoja zaidi ya mara 70USIKASIRIKE,USIKASIRIKE,USIKASIRIKE!mpaka ikafikia mara 70! Kwani Hasira huzaachuki na chuki huzaa maudhu na maudhihuzaa kisirani na kisirani houndoa NURU...... Jumaa Kareem Ndugu,Jamaa na Marafiki....
Posted by kifesi |
Rapper Future na mpenzi wake Ciara wameripotiwa kurudiana baada ya kufuta sherehe ya kuvalishana pete za uchumba.
Vyanzo vya habari vinasema Future na Ciara ambao mwezi wa tano mwaka
2014 walianzisha familia baada ya kujaliwa mtoto wa kiume wamerudiana
ili kujenga familia yao na kumlea mtoto wao ‘Future Zahir Wilburn’.
Future aliripotiwa kumsaliti Ciara miezi mitatu kabla hajajifungua mtoto wao na ndio ugomvi wao ulipoanza....
Subscribe to:
Posts (Atom)