Rapper Future na mpenzi wake Ciara wameripotiwa kurudiana baada ya kufuta sherehe ya kuvalishana pete za uchumba.
Vyanzo vya habari vinasema Future na Ciara ambao mwezi wa tano mwaka 2014 walianzisha familia baada ya kujaliwa mtoto wa kiume wamerudiana ili kujenga familia yao na kumlea mtoto wao ‘Future Zahir Wilburn’.
Future aliripotiwa kumsaliti Ciara miezi mitatu kabla hajajifungua mtoto wao na ndio ugomvi wao ulipoanza.

0 comments:
Post a Comment