KURIDHIKA
na KUSHUKURU! Na hakuna kitu chema na
chenye kuleta faida kama KUWASAMEHE
wote wenye kukukosea na wenye
kukuchukia! Lakini kuna jambo jingine zuri
mpaka Bwana MTUME (S.W.A)aliwahi
kumuusia swahaba mmoja zaidi ya mara 70
USIKASIRIKE,USIKASIRIKE,USIKASIRIKE!
mpaka ikafikia mara 70! Kwani Hasira huzaa
chuki na chuki huzaa maudhu na maudhi
huzaa kisirani na kisirani houndoa NURU...... Jumaa Kareem Ndugu,Jamaa na Marafiki.

0 comments:
Post a Comment